Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwaliko wa kikao cha

Ads
Mwaliko wa kikao cha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha
KAPU LA MAMA.

Familia ya Ndg Vincent James Mnyasumba wa MAILISITA - KILADEDA inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

...................................................................
kwenye chakula cha mchana kwa ajili ya KAPU LA MAMA la binti Yao mpendwa
LEVINA VICENT MNYASUMBA.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani tarehe 08/11/2026 saa 8:00 Mchana
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mwenyezi Mungu akubariki sana.

Kufika kwako ndio mafanikio ya mwaliko huu.

Mawasiliano :
Mary Vincent - +255 (0)757 601 990
Similar cards
Inspirations
Venue : A-16, 7th Floor,Shreeniwas MhatarpadaVaibhav Laxmi UdayapanOn Friday, 24th October 2025On Friday, 25th October 2024Venue : SUMANLaxmi vrat udyapan Invitation
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 10 Created 7 days: 56 Created 30 days: 263 All ecards: 360823
Copyright by CreateGreetingCards.eu