Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwaliko wa kikao cha kamati ya harusi

Ads
Mwaliko wa kikao cha kamati ya harusi
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha kamati ya harusi
Familia ya Bw Augustine Miguma wa Kabirizi inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw & Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha maandalizi ya harusi ya kijana wao mpendwa
GREYSON JANUARY MIGUMA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa BW Augustine Miguma tarehe ........................ saa 09:00
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU AKUBARIKI

Mawasiliano :
Greyson 0624295781
Alen 0782206701
Mama Mugi 0784191866
Similar cards
Inspirations
Smt Usha Desai & Sri Ashok Desai cordially invite youFamilia ya Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na familia ya Bw & B Catherine selema waVenue : 88 Daisy7 pm To 9 Pm  C-705I cordially invite you for my 1st haldi kumkum ceremony at our residenceOn FRIDAY, 22nd feb 2024
Statistics Created today: 20 Created yesterday: 20 Created 7 days: 236 Created 30 days: 699 All ecards: 358406
Copyright by CreateGreetingCards.eu