Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwalimu Anastasia James Sichali

Ads
Mwalimu Anastasia James Sichali
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango wa Harusi

Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Mwalimu Anastasia James Sichali.
Kuwa tunaomba mchango wako wa hali na mali kwa ajili maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba. Tarehe 11/10/2025 siku ya jumamosi

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako ili kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mchango ni kuanzia.
Single 25,000
Dauble 50,000
Mwisho wa mchango ni tarehe 4/10/2025.
Mkabidhi mchango kwa aliyekupa kadi hii.

Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Similar cards
Inspirations
NOVEMBER | 22 | 2020Bhog & Lunch-01:30 PM to 02:00 PMThe 04th March 2022 and as your clock creeps at 09:00 AMJay Salot10th December 2022Pushp Deep, Nutan Mill Compound
Statistics Created today: 62 Created yesterday: 109 Created 7 days: 598 Created 30 days: 1724 All ecards: 352807
Copyright by CreateGreetingCards.eu