Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwalimu Eva Pascal Kandunwa

Ads
Mwalimu Eva Pascal Kandunwa
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu

Mwalimu Eva Pascal Kandunwa

imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba mwanzoni mwa mwezi wa 10/2025.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Kikao kitafanyika tarehe 19/07/2025 siku jumamosi katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ludewa mjini.


Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Similar cards
Inspirations
Shreeji Bawani Asim Krupa thiLABDHI MILAN BHAI SHAHSaritha & ShajOn March 26Pritesh KadakiaMwalimu Neema William Elisa
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 69 Created 7 days: 531 Created 30 days: 1779 All ecards: 352975
Copyright by CreateGreetingCards.eu