Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwalimu Neema William Elisa

Ads
Mwalimu Neema William Elisa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Mwalimu Neema William Elisa
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba mwanzoni mwa mwezi wa 10/2025.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Kikao kitafanyika tarehe 19/07/2025 siku jumamosi katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ludewa mjini.


Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Similar cards
Inspirations
Payal Thakkar14 de Outubro de 1917Etarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9Hussein & FatimaFamilia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifuParthiv (Son of Mrs. Sangita Patel & Mr. Anil Patel)
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 63 Created 7 days: 526 Created 30 days: 1691 All ecards: 352813
Copyright by CreateGreetingCards.eu