Natarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa saba(2024)
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Mr and Mrs MKING'I inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa ESTER JAILOS MKING'I anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa saba(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa kumi.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/10/2022
Kwa Mawasiliano
0713756411
0622582436
ESTER JAILOS MKING'I.
Statistics
Created today: 2
Created yesterday: 124
Created 7 days: 585
Created 30 days: 1929
All ecards: 353218
Copyright by CreateGreetingCards.eu