Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

NERIA MWAKISYALA

Ads
NERIA MWAKISYALA
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
NERIA MWAKISYALA

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Mwaliko wa kikao cha kamati ya harusiVenue : Tower-203/ Flat No. 303On Saturday, 20th January 24Venue :W202, Jade ResidenceI am heartly invite you for Haldi Kumkum & AarohiOn Monday, 3rd February
Statistics Created today: 123 Created yesterday: 117 Created 7 days: 681 Created 30 days: 1988 All ecards: 353215
Copyright by CreateGreetingCards.eu