Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bib/Bwa YUSUPH HAMISI wa Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
NURUDINI YUSUPH HAMISI
anatarajia kufunga ndoa na
NAFIL ABDI ISAKA.
Inayotarajiwa kufanyika tarehe 26/10/2024.Ukiwa kama ndugu jamaa jirani na rafiki was familia hii. Unaombea mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuti hii.
Mwisho was mchango ni 24/10/2024.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mola akulipe kheri
Mawasiliano :NURUDINI HAMISI 0627117968. AU
TIGO LIPA NO. 7347648
Statistics
Created today: 15
Created yesterday: 458
Created 7 days: 879
Created 30 days: 4120
All ecards: 329718
Copyright by CreateGreetingCards.eu