Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF

Ads
OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg
.....................
Kuwa Binti Yao Mpendwa
Mariam S.Kyando
Anatarajiwa kuagwa ( sendoff)mnamo Tar.01/08/2024.Hivyo Familia kwa kitambua umuhimu wako wewe ukiwa kama ndugu ,jamaa na rafiki WA familia hii unaombwa sana Mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuli hii .
Mchango ni Tshs.70000 Double
Tshs.30000 Single
Tunaomba umpatie mchango wako Aliye kupatia kadi au unaweza kutuma kwa njia ya M-pesa,Halopesa na Tigo pesa hapo chini .Familia itafarijika sana endapo mchango wako utawafikia kabla ya Tar.27/08/2024.
Tunatanguliza shukrani za dhati na Mungu akubariki..Kutoka 28
Kwa mawasiliano Piga simu Na; 0768033206/0716449310/0623677624.
...................
Mwenyekiti wa kamati .
Similar cards
Inspirations
Familia ya Rev. Prof. & Mrs Neema Peter Majule inapenda kukushirikisha habari njema kwamba itakuwa nDr Asmita & Dr SachinOn 08th February, 2021, Monday0 AM & 11.07 AM at Sree Ranganna Kalyana Mantapa, Basavanahalli Road, ChikkamagaluruDopo la cerimonia saranno felici di accogliervi presso il ristorante Montrigos di Nule24th October, 7pm onwards at childrens arena
Statistics Created today: 13 Created yesterday: 9 Created 7 days: 73 Created 30 days: 288 All ecards: 360057
Copyright by CreateGreetingCards.eu