Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

PCM CLASS OF 2018-2020

Ads
PCM CLASS OF 2018-2020
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
PCM CLASS OF 2018-2020

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Familia ya RICHARD BOAY wa arusha wanayo furaha kukujulisha/kuwajulishaTo join us forVenue : A-1401, Raj horizon Ramdev Park roadNdugu/ ISAYA NYAMAVINDILai Tev skaista dienaVenue-Flat no 14, B-wing B.U.bhandari plot no 64, Datt nagar dighi 411015
Statistics Created today: 109 Created yesterday: 99 Created 7 days: 594 Created 30 days: 1711 All ecards: 352745
Copyright by CreateGreetingCards.eu