Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Regina Edward

Ads
Regina Edward
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Regina Edward
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/05/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawad Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
Ph: 8277238017On Sunday , 31 January 2021Venue : SMP 10TH FLOOR B WING F NO -1001The Fairy Tale of Princess Wendy Part 3On Friday day, 20 January 2023On Friday, 3-May
Statistics Created today: 38 Created yesterday: 70 Created 7 days: 1557 Created 30 days: 3679 All ecards: 329094
Copyright by CreateGreetingCards.eu