"Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja"
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
"Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja"
Familia ya Bibi na Bwana Bakari wa Handeni Tanga, wanayofuraha kukuarifu/kuwaarifu Mh/Prof/Dkt/Mkt/Bw&Bibi/Bw/Bibi/Dr/Miss ________________________________________________________ kuwa kijana wao mpendwa MRISHO BAKARI (KAGERE) anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa MAY 2023 (mwezi wa 5), ukiwa kama ndugu, jamaa, rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii. kiasi cha mchango ni Tsh 10,000/=
tunaomba mchango wako utufikie kabla ya tarehe 04.05.2023 kwa aliekupa kadi hii. Tunatanguliza shukran za dhati na Mungu awabaribi nyote.
mawasiliano 0654381141❤❤❤
Statistics
Created today: 16
Created yesterday: 124
Created 7 days: 533
Created 30 days: 4100
All ecards: 330838
Copyright by CreateGreetingCards.eu