Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja na kwa umoja

Ads
Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja na kwa umoja
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja na kwa umoja.

Mchango Wa ndoa
Familia ya Mzee Elipokea merakua wa leguruki ,Arusha inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Elia merakua
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa Saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Asante sana.

Mawasiliano : Elia 0683101542
Similar cards
Inspirations
On 30 January 2022From - Ankita DahikarTime: 07:00pmTHE THIRD ANGELLotus Laxmi Phase-2 kiwale, Ravet, PuneHALDI CEREMONY INVITATION
 
 
 
 
 Request your presence to celebrate the Haldi Ceremony in honor of
Statistics Created today: 12 Created yesterday: 14 Created 7 days: 61 Created 30 days: 303 All ecards: 359942
Copyright by CreateGreetingCards.eu