Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

TUMAIN MWASHILINDI

Ads
TUMAIN MWASHILINDI
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
TUMAIN MWASHILINDI

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaBegli Post, Kolar Taluk & DistrictFamilia ya Mh. Yusuph Said wa M/nyamala Ujiji inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaJaya Parvati Vrat Ujavai InvitationI would like to invite you to our home to receive Varalakshmi pooja thamboolam and blessingsB wing,Nayay Vihar society, Mankapur,Nagpur
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 18 Created 7 days: 73 Created 30 days: 312 All ecards: 360404
Copyright by CreateGreetingCards.eu