Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Wa Mbweni Teta wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Wa Mbweni Teta wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr & Mrs Amani Bahebura
wa Mbweni Teta wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa

ISAKA AMANI SAIMONI

anatarajia kufunga ndoa tarehe 17/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.

DOUBLE:- 100,000/= SINGLE:- 70,000/=

Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/08/2024.

Mungu mwenyezi akubariki.

Mawasiliano: 0785194482 Vadasto Mpwepw
0693463584 Isaka Amani

Michango itumwe:
0693463584 Isaka Amani Saimoni
Similar cards
Inspirations
Save the date for Dant Mata & Dhyawna mata Jagran onChennai-600095On Thursday, 1 February 2020With the Auspicious Haldi Kumkum CeremonyOn Saturday,28th January 2023Familia ya Bw. EMMANUEL MAKUNGU wa KOLANDOTO SHINYANGA inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 124 Created 7 days: 585 Created 30 days: 1929 All ecards: 353218
Copyright by CreateGreetingCards.eu