A kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Taasi
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Lubuga Bulugu wa Kijiji cha Silmila, kata ya Butinzya, wilaya ya Bukombe inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Taasi
……………………………………………………………………………………………………………
kuwa vijana wao wapendwa Bulugu Lubuga
na Vumilia Khamis Lukubanija wanatarajia kufanya sherehe ya ndoa tarehe 11/11/2023 nyumbani kwa Mzee Lubuga Bulugu.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Michango inapokelewa kupitia
0753341403 (Bulugu Lubuga) au
0783523643 (Bulugu Lubuga)
Mawasiliano : 0783523643 - Bulugu Lubuga
Statistics
Created today: 71
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1772
Created 30 days: 3721
All ecards: 328910
Copyright by CreateGreetingCards.eu