Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Pdr
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Send off
Familia ya Bw.Godfrey Makungu wa Katunguru/Sengerema/Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Pdr
.............................................
kuwa Binti yao mpendwa Salome Makungu
anatarajia kufanyiwa sherehe ya kumuaga( send off) mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako kuanzia Double shilingi 30,000/= na single kwa shilingi elfu 15,000/= wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.
Mawasiliano : Salome Makungu 0715054631
Godfrey Makungu 0787605324
Statistics
Created today: 74
Created yesterday: 120
Created 7 days: 985
Created 30 days: 4192
All ecards: 329897
Copyright by CreateGreetingCards.eu