Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Ndg

Ads
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Ndg
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi

Kamati ya Maandalizi ya Harusi ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Ndg

.............................................
kuwa Mwalimu Peter Funuku
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa 12.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii.Tunatanguliza shurani zetu za dhati kwakotukiamini utashiriki nasi kikamilifu. Mwisho wa mchango ni tarehe 25/11/2023 kabidhi mchango wako kwa aliyekupa kadi hii.

Kiwanga: Double 50000/=
Single 30000/=

Mungu anafurahi tunapotoa kwa Moyo.

Mawasiliano : Mwenyekiti 0753 013 177
Katibu 0713 071 211
Similar cards
Inspirations
Time: 6.30 - 9.30 pm (dinner follows)On Friday, 17th OctoberRequest you to kindly bless us with your presenceD/o Mrs.P.Maheswari & Mr.J.Nandakumar3rd February ,2023 (Friday ) at 12:30 pm to 2:30 pmOn Saturday, 1 October 2022
Statistics Created today: 14 Created yesterday: 36 Created 7 days: 191 Created 30 days: 1761 All ecards: 356874
Copyright by CreateGreetingCards.eu