Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Etarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9

Ads
Etarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Bwana na Bi Innocent Mbossa wa Dodoma Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg

.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Florian Mbossa anayetarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.


Mawasiliano : 0738261409 Baba
0738261405 Mama
Similar cards
Inspirations
Mausa?Mausi JiMy brotherMwalimu Frola MgayaOn Feb 14th 2024Mwalimu Alatanga Medson MlawaOn September 04th 2019
Statistics Created today: 6 Created yesterday: 11 Created 7 days: 105 Created 30 days: 378 All ecards: 360577
Copyright by CreateGreetingCards.eu