Familia ya bw&bib Mohamed mtumbi wa Genge muheza wanayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Z
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya bw&bib Mohamed mtumbi wa Genge muheza wanayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa ZAINAB MTUMBI anatarajia kuagwa(send off) mwishoni mwa mwezi wa nane(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba mchango wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli hii.
Single 30,000/=
Double 50,000/=
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 30/07/2024
Kwa Mawasiliano
0713 168272
0719 440359
Statistics
Created today: 2
Created yesterday: 61
Created 7 days: 888
Created 30 days: 4075
All ecards: 330027
Copyright by CreateGreetingCards.eu