Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana IKUMBO MAGEMA wa Meko-Mwanza wanayo furaha na heshima kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa MANJALE IKUMBO MAGEMA
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa SABA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
KIWANGO: DOUBLE 50,000/=
SINGLE 30,000/=

MAWASILIANO
07533877928 / 0756278714
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Similar cards
Inspirations
Time: 6.00pm To 8:00pmOn Thursday, 25th April 2024Brahmin Bhoj Prasad onArena 29 A wing flat no- 201EMMANUEL ISACKOn Sunday, 6th Feburary 2022
Statistics Created today: 12 Created yesterday: 10 Created 7 days: 94 Created 30 days: 309 All ecards: 360376
Copyright by CreateGreetingCards.eu