Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya KALISTI MAKALA Shirima wa Rombo Olele inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa GEM

Ads
Familia ya KALISTI MAKALA Shirima wa Rombo Olele inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa GEM
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya KALISTI MAKALA Shirima wa Rombo Olele inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa GEMA KALISTI SHIRIMA anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 15/08/2024

Kwa Mawasiliano
0716633345 WITNESS SWAI
0752286871 KONSOLATA MAKALA

GEMA KALISTI SHIRIMA.
Similar cards
Inspirations
Familia ya KALISTI MAKALA Shirima wa Rombo Olele inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa GEMNear bank of indiaDeck Of Spices (D.O.S)Muhurtam: Sunday 21th Nov 2021Dear Mr & Mrs Tan Sey GakEngagement ceremony of Swetha & Sai Kedhar
Statistics Created today: 43 Created yesterday: 24 Created 7 days: 185 Created 30 days: 664 All ecards: 358273
Copyright by CreateGreetingCards.eu