Familia ya Marehemu Emmanuel Nilla Maha wa njiapanda,Maswa mkoani Simiyu wanayo furaha kukujulisha/k
Create a similar
Send a card
Zbieramy na nowe darmowe kartki!
The content of the card
Mchango wa Harusi
Familia ya Marehemu Emmanuel Nilla Maha wa njiapanda,Maswa mkoani Simiyu wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Mch./bw &bi/Dr./Pro.)Eng./Mhe./bw./bi
.............................................
Kuwa kijana wao mpendwa
ANGELO E. NILLA
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni wa mwezi agosti 2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : 0652274214
0744301881
Statistics
Created today: 11
Created yesterday: 36
Created 7 days: 249
Created 30 days: 1952
All ecards: 356731
Copyright by CreateGreetingCards.eu