Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na k

Ads
Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na k
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na kamati ya harusi,wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba/kuwaomba
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Prof./Mwl/Eng./Ust./Sheik./Mch

.............................................
Mchango wa hali na mali ili kufanikisha sherehe ya harusi ya vijana wao wapendwa
DIOCLES R.ARCHARD NA ESTHER EMMANUEL
Wanaotarajia kufunga ndoa tarehe 18.08.2024 BUKOBA-MJINI.
Kwa kuwa wewe ni ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii mchango wako una thamani kubwa sana kwetu ili kufanikisha sherehe hii Muhimu.
Tafadhali mpatie mchango wako aliyekupa kadi hii kabla ya tarehe 01.08.2024.Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana.
Mawasiliano zaidi: Diocles R.Archard 0756 840 913/ 0657 840 913
“Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao” Mhubiri 4:9
Similar cards
Inspirations
Time: 1:30pm onwardsOn Monday, 22 January 2022On Saturday, 17 January 2022You all cordially invited for Lalitha Sahasranama chantingVenue : Shivprasadam ResidencyOn Friday, 06th September 2024
Statistics Created today: 54 Created yesterday: 101 Created 7 days: 629 Created 30 days: 2044 All ecards: 353371
Copyright by CreateGreetingCards.eu