Familia ya Michael billos wa Utwari (Babati) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Elizabe
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Michael billos wa Utwari (Babati) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Elizabeth Michael billos anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa name (2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 016/8/2025
Kwa Mawasiliano
0789785152 Elizabeth Billos
Mungu awabariki sana🙏
Statistics
Created today: 1
Created yesterday: 69
Created 7 days: 532
Created 30 days: 1780
All ecards: 352976
Copyright by CreateGreetingCards.eu