Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Amrani Ruhwanya wa Busoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Amrani Ruhwanya wa Busoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Amrani Ruhwanya wa Busoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

...........................................……………………..
kuwa kijana wao mpendwa Tofiki Amrani Ruhwanya
anatarajia kufunga ndoa tarehe 15/09/2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : 068 383 0059
Similar cards
Inspirations
Time: 5.00pm to 6.00pm3rd A Cross RoadDADA RUDIAOn Saturday, 18th January 2025On Saturday, 18 JanuaryOn Saturday, 27thJanuary 2022
Statistics Created today: 112 Created yesterday: 69 Created 7 days: 643 Created 30 days: 1891 All ecards: 353087
Copyright by CreateGreetingCards.eu