KADI YA UFADHIRI WA HARUSI
Create a similar
Send a card
The content of the card
KADI YA UFADHIRI WA HARUSI
Familia ya Mzee Edward Lugoda wa Sengerema-Mwanza Wanayo Heshima Kubwa kukuomba/Kuwaomba
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Sr
.............................................
Mchango wa Ufadhiri wa Harusi ya Ndoa ya Vijana wao wapendwa Emmanuel Edward Lugoda & Nyanjagi Donald Sonde
ukiwa Mtu muhimu sana kwetu tunaomba Mchango wako wa Hali na Mali ili kufanikisha tukio hilo.Tunakuomba kuchangia TZS................................Tukio Hilo Litafanyika Jumatatu ya 08/07/2024 katika kanisa la Waadvetista Wasabato Makoko, Musoma -Mara kuanzia saa 3:00 Asubuhi ukiwa Mtu muhimu sana kwetu tunaomba ushiriki wako wa Hali na Mali .Tuma Mchango wako Kupitia CRDB Bank 015266819000 Jina Emmanuel Edward Lugoda au M-Pesa 0743670442 Jina Emmanuel Lugoda Edward.Mwisho wa Kutoa ni Tarehe 25/06/2024.Kwa Mawasiliano Zaidi 0743670442 au 0624254051
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki Sana
Designed by Dream Tech
0627660113
Statistics
Created today: 0
Created yesterday: 68
Created 7 days: 909
Created 30 days: 4088
All ecards: 329964
Copyright by CreateGreetingCards.eu