Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa wa musoma (m)inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.....DEUS JOSEPH OBURE........................................
kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa feb 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.40,000/30,000.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/12/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mwl Dorah Buchafwe
0628 813063
0757 432741
MUNGU AKUBARIKI:
Similar cards
Inspirations
Familia ya Mr ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoa wa lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaLet us celebrate SankratiMarghshish guruvarBUPE MBUGHIOn Saturday, 10 January 2024
Statistics Created today: 7 Created yesterday: 14 Created 7 days: 204 Created 30 days: 1835 All ecards: 356741
Copyright by CreateGreetingCards.eu