Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mchango Wa Harusi

Ads
Mchango Wa Harusi
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Omari Mustafa wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Thani Omari Mustafa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Mohamed 0713387644
Thani 0785 779751
Similar cards
Inspirations
Your cordially invited to Ayaan bornahan and Haldi Kumkum ceremony with your Kids ,your presence wilOn Friday, 06th September 2024Familia ya Mwl.Omari Mustafa wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaOn Friday, 13th-DecemberFamilia ya Bw.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 109 Created 7 days: 546 Created 30 days: 1672 All ecards: 352755
Copyright by CreateGreetingCards.eu