MWALIKO WA KIKAO CHA SEND OFF
Create a similar
Send a card
The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA SEND OFF
Familia ya Mama akelina wa ussoke majengo inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha send off cha binti wao mpendwa anastazia lameck
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa mama akelina tarehe 30/09/2023 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa
Mawasiliano : Mama akelina 078-859-8219
Mama esta 078-712-7596
Statistics
Created today: 64
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1651
Created 30 days: 3716
All ecards: 329050
Copyright by CreateGreetingCards.eu