Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

UFADHILI WA SENDOFF

Ads
UFADHILI WA SENDOFF
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
UFADHILI WA SENDOFF

Familia ya Nicodemus R. Kiloloma wa B/Kasulu(Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Bakita N. Kiloloma anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa saba(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) inayotarajiwa kufanyika tarehe 03/07/2023.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 29/06/2023

Kwa Mawasiliano
0755027728 Nicodemus Kiloloma Mzazi
0716 990 606 Francis Nombo M/Kiti
Similar cards
Inspirations
To being best buddies foreverOn Monday 3rd February, 2020Ring Ceremony Invitation     I cordially invite you to myOri kadam
 
 Please consider this as my special invitation and join us on the day with your blessingSaturday 12th July, 2021Familia ya Bibi Diana Maneno na Bwana Furaha Mwakatika wa Majumba Sita Ukonga Dar Es Salaam, inayo
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 8 Created 7 days: 59 Created 30 days: 267 All ecards: 361028
Copyright by CreateGreetingCards.eu