Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Yahya Salum

Ads
Yahya Salum
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Yahya Salum
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawad Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
On Friday, 07- JuneVenue - Ratan Neptune C-1405Kuwa bint yao mpendwa Shadya IssaVenue : 6978 Syrah Dr DublinFamilia ya Bw.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaCommunity Centre, Joshi Colony, Delhi-110092
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 5 Created 7 days: 54 Created 30 days: 332 All ecards: 359654
Copyright by CreateGreetingCards.eu