Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu

Ads
Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg
.....................
Kuwa Binti Yao Mpendwa
Mariam S.Kyando
Anatarajiwa kuagwa ( sendoff)mnamo Tar.01/08/2024.Hivyo Familia kwa kitambua umuhimu wako wewe ukiwa kama ndugu ,jamaa na rafiki WA familia hii unaombwa sana Mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuli hii .
Mchango ni Tshs.70000 Double
Tshs.30000 Single
Tunaomba umpatie mchango wako Aliye kupatia kadi au unaweza kutuma kwa njia ya M-pesa,Halopesa na Tigo pesa hapo chini .Familia itafarijika sana endapo mchango wako utawafikia kabla ya Tar.27/08/2024.
Tunatanguliza shukrani za dhati na Mungu akubariki..Kutoka 28
Kwa mawasiliano Piga simu Na; 0768033206/0716449310/0623677624.
...................
Mwenyekiti wa kamati .
Similar cards
Inspirations
Followed by Dinner and PrasadaFamilia ya Bw.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaSh. Suneel SharmaPASTOR SWAIINVENTATIONVenue : 24-B/601, New Dindoshi, Mhada, Goregaon-East, Mumbai
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 10 Created 7 days: 79 Created 30 days: 336 All ecards: 359454
Copyright by CreateGreetingCards.eu