Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Marehemu Rashid Salim Mbiru wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Marehemu Rashid Salim Mbiru wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Marehemu Rashid Salim Mbiru wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Haidary Rashid Mbiru
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa pili mwaka 2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mrs Mbiru 0784185087
Haidary 0624151331
Similar cards
Inspirations
We Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of Vaibhav Lakshmi Udyapanाने हळदी कुंकू वOn Friday, 29th DecemberOn Saturday, 28 January 2022From - Samata Swapnil BagweVaibhav Laxmi Udyapan, Invitation
Statistics Created today: 23 Created yesterday: 14 Created 7 days: 220 Created 30 days: 1851 All ecards: 356757
Copyright by CreateGreetingCards.eu