Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

UFAZILI/MCHANGO WA HARUSI

Ads
UFAZILI/MCHANGO WA HARUSI
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
UFAZILI/MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mr:Ahmad kumtubi wa kilwa kisiwani mkoani lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Ismaila Ahmadi
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa Mchango/Ufazili wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango/ufazili wako utatufikia kabla ya tarehe 15/07/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Ismaila Ahmadi 0686083738
Au 0629183738
Similar cards
Inspirations
Time: 5 pm - 7pmW/o M NarrenthranWE INVITE YOU TO JOIN US FOR AOn Saturday, 10th FebruaryBeloved SangatPlease join us to celebrate sankranti
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 55 Created 7 days: 577 Created 30 days: 2012 All ecards: 353382
Copyright by CreateGreetingCards.eu