Kuwa kijana wao mpendwa
ANGELO E. NILLA
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni wa mwezi agosti 2024 wilayani Maswa mkoa wa Simiyu
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.